KOBUTA MINI-TRACTOR

Lima Ukiwa Umekaa. Ongeza Uzalishaji. Punguza Gharama.

Video
Video

Ukweli ni huu:

Kilimo cha nguvu kazi pekee hakitoshi tena. Kama bado unasukuma power tiller au kutegemea vibarua, unatumia muda mwingi kwa uzalishaji mdogo.
Sasa unaweza kulima huku umekaa,kwa ufanisi wa juu kwa kutumia mini tractor

Hii ndio tofauti yaMini-Tractor na Powertiller nyigine

-Unalima ukiwa umekaa hakuna
uchovu
-Inalima hekari 6–8 kwa msimu mmoja kwa ufanisi
-16HP Diesel Engine – nguvu halisi, matumizi madogo
-2WD nyuma – mshiko imara ardhini
-Gear 6 – udhibiti kamili wa mwendo
-Mfumo wa Hydraulic – kuinua na kushusha jembe kwa urahisi
-Inataa mbele – uthabiti wakati wa kazi
-Tairi 12×500 – traction bora shambani
Hii si mashine ya kujaribu.
Ni mfumo kamili wa kuongeza tija

Inakuja na VifaaMbalimbali kama vile:

1: Jembe la Disc 4

2: Jembe la Rotaveta

3: Jembe la Kijiko


USIPOTEZE MSIMU HUU WA KILIMO

Anza msimu ukiwa mbele ya wengine.
Fanya kazi kwa ufanisi, si kwa nguvu nyingi.
Ongeza faida yako kwa kila hekari.

STOCK NI CHACHE

Mashine hizi haziingii kila siku.
Zikiisha, bei hubadilika kulingana na soko.
wahi ujipatie yako kabla mzigo haujaisha

SPECIFICATIONS

Model: RT140 / ZT140
Engine: 16HP
Fuel: Diesel Lilta 1.5 hekari 1
Transmission: Manual
Condition: New

MKULIMA TOKA BABATI ALIYEJIPATIA MINI TRACTOR

Video

BEI SH 15,500,000/=

MAHALI TULIPO

Tegeta Nyashozi
Ukifika kituo cha daladala Nyashozi, mbele kidogo utaona bango la Kilimo na Ufugaji au uliza kwa Mpangwa Furniture.

Piga simu sasa:
0759716493
0773494996
0687990118

© Untitled. All rights reserved.